3 Bedrooms House for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam









Description
Mpyaaaaa mpyaaaaa Inapangishwa ipo kimara temboni kulia kama unaelekea mbezi
Umbali km.2.5 kufika usafiri boda au bajaji ukishuka bajaji unatembea dk 7
Muundo wanyumba
==================
Vyumba vitatu vyakulala kimoja master sebule kubwa jiko napablick toilet
Ndani yafensi nyumba 5 kila moja Inajitegemea umeme na maji Dawasa yanaflow ndani
#Kodi 410x6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Contact
0742260844
0657384670















