Search
-
-

3 Bedrooms House for sale in Bomang'ombe, Kilimanjaro

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Description

๐Ÿ“Habari za jumapili , ndugu mteja wa Nyumba na viwanja Moshi na WILAYA za jirani kama Bomang'ombe -Hai , nakuletea Nyumba nzuri na ya kisasa INAUZWA , Nyumba ipo BOMANG'OMBE MJINI ,Nyumba Ina VYUMBA vitatu VYA kulala sebule jiko dining , Nyumba ni nzuri na ya kisasa ,..
๐Ÿ“Bei ya muuzaji ni mil.65 tuu , Bei rafiki Kwa uchumi wa mji wa Bomang'ombe na Hali ya maisha , Nyumba Ina hati miliki na ana ruhusu kulipia Kwa awamu .
๐Ÿ“Nyumba ni nzuri na ya kisasa ...
๐Ÿ“karibu sana ndugu mteja wa Nyumba na viwanja ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ
#fyppppppppppppppppppppppp
#10millionsviews
#dalalimoshi_nyumba
#boma
#viralreels

Similar properties in Kilimanjaro, Moshi CBD, Kilimanjaro