3 Bedrooms House for Sale in Buhongwa, Mwanza
ID: 260819UNFKLBuhongwa, Mwanza
21 days ago
Sh. 35,500,000
Amenities
Description
Nyumba bado ni mpya kabisaaa..
Inauzwa milioni 35.5 tu! Pesa faster
Nyumba ipo buhongwa jijini Mwanza
Mita Mia tu! Kutoka lami
Nyumba kubwa inavyumba vitatu pamoja na chumba kimoja upande wa nje..
Maelezo zaidi nenda whatsapp number
ourdalali_real_estate_limited















