3 Bedrooms House for sale in Kibada Mwela, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
3
Plot Size
600 SQM
Nearest Road
2km
Description
🏡 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA MWELA 🏡
Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni – Kibada Mwela.
✅ Vyumba 3
✅ Vyumba 2 ni Master Bedroom
✅ Ukubwa wa kiwanja: 600 Sqm
✅ Umbali wa Kilomita 2 kutoka barabara kuu ya lami
✅ Umbali wa Kilomita 10 kutoka Ferry
✅ Umbali wa Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: TZS Milioni 125 (Mazungumzo yapo.)
📄 Nyaraka: Serikali ya Mtaa
📞 Wasiliana: 0769 554 221
#trendingvideo #realestateforsale #istagram #tanzania #trendingaudio















