3 Bedrooms House for Sale in Kibaha Kwa Mfipa, Pwani (400 sqm)

Type
House
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Plot Size
400 SQM
Amenities
Description
BOMA JIPYAA ZURI SANA LA VYUMBA VITATU VYA KULALA LINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA MILIONI 18 TU
==========
π»Lina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja ni Master
π»Sebule kubwa
π»Jiko
π» Public toilet
__________________
βοΈ Lipo kwenye barabara ya mtaa
π Boma lina ukuta upande mmoja
π Lipo karibu na chuo cha Mwl NYERERE
βοΈ Unapaua na kuhamia
π Umeme na Maji vimegusa kiwanja
==========
β
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 400
_____________________
π° BEI MILIONI 18 TU
Maongezi yanafanyika site.
==========
βοΈ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#0714972994















