Search

3 Bedrooms House for sale in Kibaha, Pwani

video thumbnail
Kibaha, Pwani
26 days ago
Sh. 26,000,000

Description

NYUMBA NZURI NDANI YA FENCE KARIBU NA BARABARA INAUZWA KIBAHA TSH 26M TU.

==========

๐Ÿ”ปIna vyumba vitatu vya kulala
๐Ÿ”ปSebule kubwa
๐Ÿ”ปJiko
๐Ÿ”ป Public toilet
๐Ÿ”ปNje kuna chumba kimoja cha ziada
๐Ÿ”บFremu ya duka kwa nje
__________________

โœ๏ธ Nyumba ipo ndani ya fence
โœ๏ธ Kutoka stand unatembea tu
โœ๏ธ Ipo kwenye barabara ya mtaa

โœ๏ธ Ina fremu moja kwa nje na chumba kimoja cha nje

๐Ÿ”ปNyumba ina umeme na Maji
๐Ÿ”บ Ndani imepakwa rangi na gympsum
_____________________

๐Ÿ’ฐ BEI MILIONI 26 tu Maongezi yapo
โœ… UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU

==========

โœ๏ธ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu

==========

Call/WhatsApp:
#0714972994

Similar properties in Kibaha, Pwani