3 Bedrooms House for Sale in Kibaha Sofu, Pwani (1400 sqm)









Type
House
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Plot Size
1400 SQM
Nearest Road
2km — Morogoro Road
Amenities
Description
🏡 NYUMBA INAUZWA – KIBAHA SOFU
Fursa nzuri ya kuishi au kuwekeza!
📍 Kibaha Sofu – Kilomita 2 tu kutoka Morogoro Road.
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1,400.
🏠 Nyumba imegawanyika katika sehemu mbili (2 units), na kila upande una vyumba 3 vya kulala, ikiwemo Master Bedroom 1, sebule, dining, jiko na bafu. Muundo huu unaifanya ifae kuishi au kupangisha.
✅ Inafaa kwa makazi, apartment, nursery au uwekezaji.
💰 Bei: TZS Milioni 250 (Inajadiliwa).
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kupanga kuja kuiona.















