Search

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Center, Dar Es Salaam (1300 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 300,000,000

Amenities

Title Deed
Near Paved Road
Surveyed Land
Private Gate First House
Private Gate Second House
Land For Apartment Construction

Description

NYUMBA MBILI ZINAUZWA – KIGAMBONI CENTER 🔥🏡

💎 FURSA NZURI YA MAKAZI NA UWEKEZAJI!

Nyumba mbili zinauzwa pamoja katika eneo zuri la Kigamboni Center, zikiwa na nafasi nzuri kwa matumizi ya familia na uwekezaji.

✨ NYUMBA YA KWANZA:
🛏️ Vyumba 3, vyote Master
🛋️ Sebule
🍽️ Dining
🍳 Jiko
🚪 Ina geti lake binafsi

✨ NYUMBA YA PILI:
🛏️ Vyumba 2, vyote Master
🛋️ Sebule
🍽️ Dining
🍳 Jiko
🚪 Ina geti lake binafsi

🏗️ BONUS YA UWEKEZAJI:
Bado kuna eneo limebaki lenye geti lake binafsi, linalofaa kujenga Apartment na kuongeza chanzo cha mapato.

📐 Ukubwa wa eneo: SQM 1300
📄 Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
💰 Bei: TSH MILIONI 300
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

📍 LOCATION: KIGAMBONI CENTER
🚗 Mita chache kutoka barabara ya lami
🚗 Km 10 kutoka Feri
🚗 Km 10 kutoka Kigamboni Darajani

🔥 Hii ni fursa ya kipekee kwa mtu anayehitaji nyumba mbili na bado apate nafasi ya kujenga apartment kwa ajili ya uwekezaji.

📞
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

5 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 1,000,000,000

For Sale5 beds1,200 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu