3 Bedrooms House for Sale in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)









Type
House
Bedrooms
3
Plot Size
500 SQM
Nearest Road
2km
Amenities
Description
. #KIMARA_MWISHO
✨Nyumba nzuri sana zinauzwa
✨Nyumba kubwa Ina vyumba vitatu vikubwa kimoja masterbedroom, sebule kubwa na jiko
✨Nyumba nyingine ina vyumba vikubwa vinne vya wapangaji
✨Ukubwa wa kiwanja : sqmt 500
✨Bei: million 80 (maongezi yapo)
✨Location: Kimara mwisho
✨ Umbali: 2km
✨Documents: pamepimwa na muuzaji mmoja
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie. O719969102















