Search
-
-

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwangolandege, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000,000

Type

House

Bedrooms

3

Amenities

Electricity
Fans
Heater
Fence
Water Supply
Kisima

Description

🏑✨ NYUMBA MPYA INAUZWA – KINYEREZI MONGOLANDEGE ✨🏑

Nyumba mpya kabisa yenye finishing ya kisasa na ubora wa hali ya juu, ipo eneo tulivu, salama na linalofikika kirahisi πŸ”₯
✈️ Karibu na uwanja wa ndege, hivyo ni location nzuri sana kwa makazi na uwekezaji.

βœ… Vyumba 3 vya kulala (1 Master)
βœ… Sebule kubwa ya kisasa
βœ… Jiko la kisasa lenye makabati
βœ… A/C na mafeni sebule na vyumbani
βœ… Water heater
βœ… Maji ya kisima + motor
βœ… Taa za ndani na nje za kisasa
βœ… Ipo ndani ya fensi

πŸ“ Location: Kinyerezi Mwangolandege
πŸ’° Bei: TSh 250 Milioni (maongezi yapo)
πŸ’΅ Service charge: TSh 30,000/=

🀝 Karibu mnunuzi wa kweli tufanye biashara
πŸ“ž +255 688 412 890

🏑✨ Dalali wako Wakishua