Search

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Songas, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 60,000,000

Description

๐Ÿก NYUMBA INAUZWA KINYEREZI SONGAS โ€“ LOCATION NZURI SANA! ๐Ÿ”ฅ

Fursa adimu ya kumiliki nyumba iliyopo Kinyerezi Songas, ikiwa ni nyumba ya pili kutoka barabara ya lami. Eneo linafikika kwa urahisi na lina mazingira mazuri ya kuishi pamoja na uwekezaji.

โœ… Ina:

* Vyumba 3 vya kulala (kimoja Master)
* Sebule kubwa
* Jiko
* Choo cha Public
* Umeme na maji vinapatikana
* Parking ya kutosha

๐Ÿ“ Ukubwa wa eneo: Sqm 400

๐ŸŒŸ Inafaa kwa:

* Makazi ya familia
* Uwekezaji wa nyumba za kupangisha
* Apartments
* Lodge au biashara nyingine kutokana na location yake nzuri karibu na barabara kuu

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 60 Tu (BEI NI FIXED)

๐Ÿ”ฅ Wahi Sasa, Offer Kabambe!

Miliki Kesho Yako Leo!!!

๐Ÿ“ž Muhitaji piga

Calls/whatsapp: au

Service Charge / Gharama ya Huduma: 50,000/=

๐Ÿ  Karibu Tajiri

Dalali tabata kinyerezi tz

dalali_tabata_kinyerezi_tz

@dalali_tabata_kinyerezi_tz

View Listings

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam

Dalali tabata kinyerezi tz