3 Bedrooms House for Sale in Madale, Dar Es Salaam (600 sqm)
Amenities
Description
HABARI! KARIBU SANA. (Ujumbe wa Kiotomatiki)
Asante kwa kuwasiliana nasi. Tunayo NYUMBA NZURI INAUZWA iliyopo MADALE! MWANZONI DAKIKA 4 TUU
KUTOKA BARABARA YA RAMI KUBWA DAKIKA 4 JIRANI
š MAELEZO YA NYUMBA:
⢠Mahali: Madale (Jirani kabisa na TRA Mpya ya Madale)
⢠Vyumba: 3 vya kulala (Vyumba 2 ni Master Bedrooms)
⢠Sebule nzuri na Jiko kubwa lenye Choo ndani
⢠Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 600
⢠BEI: TSH 350,000,000/=
Pia unakaribishwa kuwasiliana nasi kwa huduma na kazi zingine zaidi. Acha ujumbe wako hapa au tupigie simu, tutakujibu mara moja!
Karibuni sanaa sanaa















