3 Bedrooms House for Sale in Matemwe Kigomani, Zanzibar (3135 sqm)







Matemwe, Zanzibar, Zanzibar
18 hours ago
Sh. 65,000,000
Type
House
Bedrooms
3
Plot Size
3135 SQM
Nearest Road
60m
Amenities
Tiles
Public Toilet
Store Room
Garden
Dining Roo
Sitting Room
Description
NYUMBA INAUZWA MATEMWE KIGOMANI
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita 60 (Karibu na barabara)
Umbali Kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 400
Vyumba 3 (Master 1)
Dining Roo
Sitting Room
Jiko
Stoo, Public Toilet
Ukubwa Ft 55x57
Bei Tsh 65m
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 400
What’s App/Call 06530007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
