Search

3 Bedrooms House for Sale in Mjimwema, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 160,000,000

Description

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, MJIMWEMA

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba mpya katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi. Nyumba ipo katika hatua za mwisho za umaliziaji na itakuwa tayari kuhamiwa muda si mrefu.

πŸ“ Mahali: Kigamboni – Mjimwema

Sifa za Nyumba

βœ… Vyumba 3, vyote Master
βœ… Sebule kubwa na yenye nafasi ya kutosha
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Nyumba ya ghorofa moja (Single Storey)
βœ… Ipo katika hatua za mwisho za umaliziaji

Maelezo ya Kiwanja

πŸ“ Ukubwa wa eneo: SQM 400
πŸ“„ Nyaraka: Hati ya Serikali ya Mtaa

Umbali

πŸ“ Kilomita 1 kutoka barabara kuu
⛴️ Kilomita 8 kutoka Ferry
πŸŒ‰ Kilomita 7 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: TZS Milioni 160 (Mazungumzo yapo kidogo.)

πŸ“ž 0769554221

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Similar properties in Mjimwema, Dar Es Salaam