3 Bedrooms House for Sale in Picha Ya Ndege, Pwani (500 sqm)

Amenities
Description
BOMA ZURI SANA LA VYUMBA VITATU VYA KULALA LINAUZWA KIBAHA PICHA YA NDEGE MILIONI 18 TU
==========
π»Lina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja ni Master
π»Sebule kubwa
π»Jiko
π» Public toilet
__________________
βοΈ Lipo kwenye barabara ya mtaa
π Lipo mtaa mzuri sana
==========
β
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 500
βΌοΈ Kimepimwa na kina hati
_____________________
π° BEI MILIONI 18 TU
==========
βοΈ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#0714972994






