4 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

video thumbnail
Sh. 50,000

Type

House

Bedrooms

4

Description

NYUMBA YAKISASA, VYUMBA 4,TSHS.85 MILIONI, VIKINDU-KAMENGELE.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900.
Umiliki MKATABA WA MAUZIANO.

Ipo umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya KILWA.

Vyumba vya kulala 4 ( 2 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Pia ina Servant's Quarter ya Chumba na Choo chake.
Pia Frem moja ya Duka.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

________________chCh