4 Bedrooms House for sale in Boko Burumawe, Dar Es Salaam

Boko, Dar es Salaam
1 month ago
Sh. 350,000,000
Description
NYUMBA MPYA YA KISASA,VYUMBA 4,TZS.350 MILIONI,BOKO BURUMAWE.
Inaiangalia Barabra mpya ya Lami ya Boko.
Kiwanja ni kikubwa.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 4 vya kulala.
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Parking ni kubwa,
Nyumba ina Paving na pia kuna Garden.
__________________
ANGALIZO:
Malipk ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________mpg















