4 Bedrooms House for Sale in Goba Kulangwa, Dar Es Salaam (500 sqm)

Type
House
Bedrooms
4
Plot Size
500 SQM
Nearest Road
1.5km — Goba/Madale
Amenities
Description
NYUMBA MBILI PAMOJA,TZS.160 MILIONI,GOBA KULANGWA.
Ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya GOBA/MADALE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba kubwa ina vyumba 2 vya kulala,
kila kimoja kina Choo chake.
Pamoja na Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ya Pili ina pande mbili,
Kila upande ukiwa na Masta 1, Sebule,na Jiko.
Parking ya kutosha, utulivu upo na Usalama ka' Ikulu.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mpg















