Search

4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Kisarawe II, Dar Es Salaam (700 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 150,000,000

Description

🏑πŸ”₯ NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, KISARAWE II πŸ”₯🏑

πŸ’Ž NYUMBA MPYA – IPO KWENYE HATUA ZA MWISHO!

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba mpya kabisa katika eneo zuri la Kigamboni – Kisarawe II. Nyumba imekamilika kwa takribani 70%, ikiwa kwenye hatua nzuri ya umaliziaji.

✨ SIFA ZA NYUMBA:
βœ… Vyumba 4
βœ… Vyumba 2 Master
βœ… Sebule
βœ… Dining
βœ… Jiko
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 700
πŸ“„ Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
πŸ—οΈ Nyumba imekamilika kwa takribani 80%

πŸ“ UMBALI:
πŸ“Œ Mita chache kutoka Baba Alami
πŸ“Œ Kilomita 10 kutoka Ferry
πŸ“Œ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere, Kigamboni

πŸ’° BEI: TZS MILIONI 150
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ”₯ Nyumba mpya kabisa, eneo zuri na nafasi nzuri ya kumalizia kwa mtindo unaoupenda.

πŸ“ž 0769 554 221
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateinvestment #realestateagent #tanzania

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam