4 Bedrooms House for Sale in Kijitonyama, Dar Es Salaam (400 sqm)

Type
House
Bedrooms
4
Plot Size
400 SQM
Amenities
Description
Nyumba inauzwa ipo Kijitonyama jirani na Mabatini nyumba ni nzuri sana, mpya na ya kisasa, haijawahi kukaliwa. Ina vyumba 4 vitatu self contained, Eneo lina sqm 400. Inataka milioni 990. (Maongezi yapo) hati safi ipo.
call wasap
0714592413















