Search

4 Bedrooms House for Sale in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (3000 sqm)

video thumbnail
Sh. 400,000,000

Description

✨Nyumba nzuri sana na kubwa inauzwa Ina vyumba vinne (vitatu ni masterbedrooms vina makabati yanguo), sebule kubwa, dinning na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater

✨Ina Cctvs cameras na boycotta kubwa ya mfanyakazi au wageni

✨Documents: Ina hati miliki

✨Ukubwa sqmt 3,000

✨Location: Kimara mwisho -DSM (Dakika 5 kwa Mguu kutoka lami)

✨Bei million 400 (maongezi yapo)

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:

O719969102

.

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

  • Kitchen

  • Dining Room

  • Sitting Room