Search

5 Bedrooms Furnished House for Sale in Kigamboni Geza Beachside, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 800,000,000

Description

MUNGU ATA KUFANYIA WEPESI MWAKA HUU KABLA HAUJAISHA UTAMILIKI NYUMBA KAMA HII SEMA AMINA๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‘ KASRI LA KIFAHARI LINAAUZWA โ€“ KIGAMBONI GEZA BEACHSIDE, DAR ES SALAAM

Karibu kwenye moja ya nyumba za kifahari zaidi zilizopo Kigamboni Geza Beachside. Ikiwa unatafuta makazi ya hadhi ya juu au uwekezaji wa thamani, hii ni fursa ya kipekee.

๐Ÿ“ Mahali: Kigamboni Geza Beachside, Dar es Salaam.

Sifa za Kasri:

๐Ÿก Vyumba 5 vya kulala
๐Ÿ›‹๏ธ Full Furnished โ€“ linauzwa pamoja na samani zote za kisasa
โœจ Aluminium tiles za kisasa
๐ŸŽจ Gypsum ya kuvutia yenye finishing ya hali ya juu
๐Ÿช‘ Samani za kifahari na za kisasa
๐Ÿ—๏ธ Ujenzi wa kiwango cha juu wenye muonekano wa kisasa

๐Ÿ“ Ukubwa wa eneo: Square Meter 800

Nyumba hii imejengwa kwa ubora wa hali ya juu, ikiwa na nafasi kubwa, mazingira tulivu na hadhi inayokidhi maisha ya kifahari kwa familia au mwekezaji anayethamini ubora.

๐Ÿ’ฐ Bei: TZS 800,000,000
๐Ÿค Mazungumzo yapo kidogo.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo kupanga kutembelea nyumba hii ya kipekee.

Service Charge: TZS 30,000

๐Ÿ“ฒ Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment LuxuryHome

SAI BROKER KIGAMBONI KISOTA DSM๐Ÿ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

dalali_kigamboni_geza_kibugumo

@dalali_kigamboni_geza_kibugumo

View Listings

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

5 Bedrooms House for sale in Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 190

For Sale5 beds700 sqmFurnishedhouse
5 Bedrooms House for sale in Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 190

For Sale5 beds700 sqmFurnishedhouse
3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale3 beds1 bath400 sqmhouse
SAI BROKER KIGAMBONI KISOTA DSM๐Ÿ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ