5 Bedrooms House for Sale in Goba Center, Dar Es Salaam (1200 sqm)
Description
✨Nyumba mpya kali sana na kubwa sana inauzwa Ina eneo kubwa. O719969102
✨Ina pagola, gardens, boycotta, cctvs cameras na parking kubwa
✨Ina vyumba vitano vikubwa vyote masterbedrooms, sebule kubwa, dinning na jiko kubwa lakisasa
✨Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1,200
✨Bei: million 730 (maongezi yapo)
✨Location: GOBA CENTER
✨Documents: HATI MILIKI
✨Umiliki : Mmoja
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:
O719969102
.















