5 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi Mkongo, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏡 NYUMBA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI MKONGO 🏡
💰 Bei: Milioni 50 Tu (Mazungumzo Yapoo)
Unatafuta nyumba kubwa kwa familia au uwekezaji? Hii hapa fursa adimu iliyopo Mbagala Chamazi Mkongo.
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 5 vya kulala
✅ Chumba 1 Master Bedroom
✅ Sitting Room kubwa
✅ Dining Room
✅ Jiko la kisasa
✅ Chumba 1 cha nje
✅ Umeme na maji vinapatikana
✅ Fensi kubwa
✅ Maegesho ya magari hadi 4
📍 Eneo: Mbagala Chamazi Mkongo
🚶 Dakika 10 kwa miguu kutoka barabara ya lami
🚗 Dakika 4 tu kwa gari kutoka lami hadi nyumbani
📞 Kwa maelezo zaidi na kwenda kuangalia nyumba, piga simu:
0683 665504
⚡ Wahi mapema kabla haijapata mnunuzi!















