5 Bedrooms House for sale in Nyakato Father James, Mwanza

Nyakato, Mwanza
10 hours ago
Sh. 55,000,000
Amenities
Description
Nyumba kubwa ya kisasa tunauza kwa bei ya offer
Inapatikana Nyakato Father James Kahama
Ina vyumba 5 Vyakula
Sebule mbili
Maji na umeme Vimefika
Barabara ya uhakika
Eneo ni 30x30 = SQM 900
Bei ni Tshs 55,000,000/=
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia simu
Ni 0752587400
Karibuni nyote
#tanzania #kham#kahama #dalalikahamamanispaa #nyumbazakisasa






