Search

7 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Mikwambe, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 45,000,000

Description

🏑 MABOMA MAWILI YANAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBE 🏑

Fursa nzuri ya kuwekeza au kukamilisha nyumba zako katika eneo linalokua kwa kasi!

βœ… Boma la Kwanza

* Vyumba 3
* Master 2
* Sebule, jiko na sehemu za huduma

βœ… Boma la Pili

* Vyumba 4
* Master 2
* Lina wapangaji tayari, hivyo unaweza kuendelea kupata mapato huku ukiendelea na maendeleo.

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 600

πŸ“ Mahali

* Mita 300 tu kutoka barabara kuu ya lami
* Kilomita 11 kutoka Feri ya Kigamboni
* Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: Milioni 45 tu (Mazungumzo yapo)

πŸš— Visit Site: Tsh 30,000

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0769 554 221

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

4 Bedrooms House for Sale in Kisarawe, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 130,000,000

For Sale4 beds4 baths1,000 sqmhouse