Apartment for Sale in Goba - Kinzud, Dar Es Salaam (600 sqm)

Type
Apartment
Plot Size
600 SQM
Amenities
Description
APARTMENTS ZINAZOUZWA – GOBA (KINZUD / UKANDA WA MBEZI BEACH AFRICANA)
📍 Eneo: Goba – Kinzud (ukanda wa kuelekea Mbezi Beach Africana)
💰 Bei: Tsh Milioni 120 (kwa zote mbili) – maongezi yapo
🏠 Maelezo ya Majengo:
• Apartment 2 zinazouzwa pamoja
• Moja ina vyumba 3
• Nyingine ina vyumba 2
• Zote zina wapangaji tayari (zinazalisha kipato)
• Eneo tulivu na lenye uhitaji mkubwa wa nyumba za kupanga
📐 Ukubwa wa Kiwanja: sqm 600
📄 Hati: Miliki safi (ina hati ya umiliki)
🚗 Upatikanaji: Panafikika muda wowote kwa ukaguzi
✨ Faida kwa Mnunuzi:
• Mapato ya haraka kwa kuwa wapangaji wapo tayari
• Eneo linaendelea kupanda thamani
• Fursa nzuri ya uwekezaji wa muda mrefu
📞 Wasiliana kwa maelezo zaidi
0692181138
