1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam






Type
Apartment
Bedrooms
1
Nearest Road
2km
Installment
Available
Description
Apartment nzuri sana wahi ndugu mteja
Apartment hii inapangishwa KIMARA TEMBONI
Ina chumba kikubwa cha kulala
Sebule kubwa sana kama uwanja wa mpira
Jiko zuri lenye kabati
Na choo kizuri chenye nafasi
Maji yanaflow ndani na unajitegemea
Luku unajitegemea
Kodi 200,000 × 6
Zipo Apartiment 4 na hii moja ndio ipo wazi wahi mapema
Ipo km 2 tu kutoka kituoni
Bajaji 1000 na ukishuka tu unapiga teke mlango
Bodaboda 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja hakuna mbambamba
Itakuwa wazi tarehe 2 kuona kulipia endapo MPANGAJI atakuepo
SIMU
0712656027















