1 Bedroom Apartment for Rent in Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam









Amenities
Description
π APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
π Location: Mbezi Mwisho β Msakuzi Center
Bajaji 1000 pikipki 2000
β¨ Nyumba mpya kabisa zenye mazingira safi na tulivu.
πΉ Aina ya Kwanza: β
Chumba, Sebule,choo na Jiko linafugwa makabati π° Kodi: TZS 300,000 kwa mwezi x miezi 6
πΉ Aina ya Pili: β
Chumba,choo Jiko linafugwa makabati π° Kodi: TZS 200,000 kwa mwezi x miezi 6
π Sifa za Nyumba: βοΈ Nyumba mpya kabisa βοΈ Compound yenye nyumba 6 tu βοΈ Paving Blocks βοΈ Mazingira safi na salama βοΈ Umeme wa LUKU (Meter yake binafsi) βοΈ Maji ya Kisima na DAWASA yanapatikana mda wote
π Kwenda kuona nyumba 20k
NB: Agent atalipwa kodi ya mwezi mmoja pindi mpangaji atakapolipia nyumba.
SIMU
0712656027















