1 Bedroom Apartment for Rent in Temboni, Dar Es Salaam









Description
Apartimenty mzuri sanaa zinapangishwa, zipo temboni, Umbali dk 7 tu, uitaji boda au bajaji Muundo wake Chumba kikubwa, sebule, kubwa, jiko, open kitchen pia jikoni, kumefungwa, makabti, choo ni pablick toilet Feni.zimefungwa sebleni na chumbani, pia, stende nativity lmefungwa Inatailzy gupusam aluminium Inajitegemea umeme na maji Nyumba lpondani yafensi full peving block Kodi 280x3 Pia ulinzi na usafi sh, 8500x3 Kuona nyumba elfu 15000 Pia utamlipa dalali kodi yamwezi mmoja kama ukilipia nyumba Call 0713 320 608 0686 334 182















