Search
-
-

3 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 600,000

Type

Apartment

Bedrooms

3

Nearest Road

7m — Morogoro Road

Installment

Available

Amenities

Parking Space
Public Toilet
Tiles
Wardrobes
Kitchen
Fans

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI KODI YA MWEZI MMOJA 600K

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA NA VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI

#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 600,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA