2 Bedrooms Apartment for Rent in Makongo Juu, Mtipesa, Dar Es Salaam

Description
🏡 Apartment ya Kisasa ya Vyumba 2 kwa Kodi – TZS 750,000
📍 Makongo Juu, Mtipesa
✨*Furahia maisha ya kisasa katika apartment safi, tulivu na yenye huduma zote muhimu kwa maisha ya starehe!*✨
Maelezo ya Nyumba:
✅ Vyumba 2 vya kulala (kimoja ni master bedroom)
✅ Sebule kubwa, yenye mwanga na hewa ya kutosha
✅ Jiko la kisasa lenye makabati ya kuhifadhia
✅ Choo cha wageni (public toilet)
✅ Balcony moja yenye mwonekano mzuri
Huduma Zilizopo:
✔️ Parking ya kutosha
✔️ Maji ya moto (heater)
✔️ Full Air Conditioning (AC)
Mahali:
📍 Ipo Makongo Juu – eneo tulivu na salama, karibu na huduma zote muhimu kama shule, maduka na usafiri wa uhakika.
Masharti ya Malipo:
💰 Kodi: TZS 750,000 kwa mwezi
💰 Malipo ya miezi 4 kwa pamoja (advance)
🔹 Service charge (mara moja tu): TZS 30,000
🔹 Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa Mawasiliano Zaidi:
📞 Piga au WhatsApp: +255 692 932 076
Usikose! Fursa hii ni adimu kwa eneo la Makongo Juu!















