2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Amenities
Description
Apartment inapangishwa bei 230 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 5 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi, Apartment ina rooms 2 vyakulala sitting room jiko, rooms 2 vyote ni masters bedroom, public toilet ipo pia, tiliz, madilisha vioo, jiko, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, na fensi ya parking ipo pia,. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426..








