2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbezi Beach, Dar Es Salaam
Amenities
Description
APARTMENT FOR
RENT - MBEZI BEACH , JULIANA
** Apartment nzuri sana inapangishwa Mbezi
Beach, upande wa chini
— Vyumba viwili vikubwa kimoja ni self
contained
•) Sebule yenye nafasi
Jiko
½ Balcony
• Maji ya kujitegemea
4 Umeme wa kujitegemea
& Mazingira safi, salama na tulivu Au Ipo jirani sana na barabara ya lami
22 Wapangaji sio wengi - mazingira ya utulivu
é Kodi: TSH 1,500,000 kwa mwezi
& Malipo: Miezi 6 na deposit mwezi mmoja
Apartment nzuri, location nzuri na mazingira mazuri kwa mtu anayependa privacy na utulivu.
Nione dalalimbezibeach _rahimu
Contact
WhatsApp
Karibuni sana wateja wangu 🙏🙏















