2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Amenities
Description
π APARTMENT INAPANGISHWA
π Location: Mbele Mwisho kwa Yusufi πΆ Umbali: Dakika 2 kutoka barabara ya lami
β¨ Sifa za Nyumba: β’ Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master Bedroom) β’ Sebule kubwa β’ Dining area β’ Jiko la kisasa β’ Bafu na choo vya ndani β’ Umeme na maji vinajitegemea β’ Full garden β’ Parking space kubwa β’ Mazingira mazuri na salama
π° Kodi: TZS 600,000 kwa mwezi π
Malipo: Miezi 6 mbele
π kwend kuon β’ : TZS 20,000 β’ Agent Commission: Kodi ya mwezi 1
π Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kuja kuona ny 0684561351















