Search

2 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Description

🏒πŸ”₯ APARTMENT 8 + NYUMBA KUBWA ZINAZALISHA KIPATO β€” KIGAMBONI KIBUGUMO! πŸ”₯🏒.

Unatafuta sehemu ya kuwekeza pesa yako badala ya kuiacha benki? Hii ni fursa ya kuangalia kwa umakini! πŸ’°πŸ“ˆ

πŸ“ Kigamboni Mjini – Mama Kibugumo
πŸš— Mita 300 tu kutoka barabara ya lami
πŸ›£οΈ Eneo linagusa barabara mbili za mtaa
πŸšͺ Lina mageti mawili, hivyo unaweza kuligawa vizuri kwa matumizi binafsi na wapangaji.

🏠 Unapata:
βœ… Apartment ndogo 8
βœ… Nyumba kubwa yenye vyumba 2 vya kulala
βœ… Nyumba kubwa inapangwa karibu TZS 500,000 kwa mwezi
βœ… Apartment zinapangishwa kati ya TZS 200,000–250,000 kwa mwezi kila moja.

πŸ’° KIPATO: Kwa makadirio ya upangishaji uliopo, unaweza kufikia hadi TZS 2.3M kwa mwezi kulingana na viwango vya kodi na occupancy.

πŸ”₯ BEI: TZS 250,000,000 TU!

Hii si nyumba tu β€” ni investment yenye potential ya kukupa cash flow ya kila mwezi, huku thamani ya eneo ikiendelea kukua.

πŸ’‘ Unaweza hata kupanga matumizi ya eneo kwa namna ambayo upande mmoja ukaishi wewe, upande mwingine wapangaji, kutokana na kuwa na mageti mawili na kugusa barabara mbili.

⚠️ Bei hii ni kwa mteja serious. Usichelewe β€” fursa kama hii ikipita, unaweza kuikuta bei imepanda!

πŸ“ž CALL

Dn

.

dalali mpole kibamba

dalali_mpole_kimara_kibamba

@dalali_mpole_kimara_kibamba

View Listings

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

2 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam
1

Sh. 250,000,000

For Sale2 bedsapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam
1

Sh. 250,000,000

For Sale2 bedsapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam (800 sqm)
1

Sh. 250,000,000

For Sale800 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam (800 sqm)
1

Sh. 250,000,000,000

For Sale2 beds800 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam (1000 sqm)
1

Sh. 250,000,000

For Sale1,000 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartment for Sale in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam (1000 sqm)
1

Sh. 250,000,000

For Sale1,000 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
3 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Funcity (Mwembe Mtengu), Dar Es Salaam
1

Sh. 150,000,000

For Sale3 bedsapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartment for Sale in Kigamboni Funcity (Mwembemtengu), Dar Es Salaam
1

Sh. 150,000,000

For Saleapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartment for Sale in Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (650 sqm)
1

Sh. 130,000,000

For Sale650 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartment for Sale in Kigamboni FunCity (Mwembetengu), Dar Es Salaam
1

Sh. 150,000,000

For Saleapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
3 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni - Mjimwema, Dar Es Salaam (500 sqm)
1

Sh. 160,000,000

For Sale3 beds500 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
6 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Fancity, Dar Es Salaam (700 sqm)
1

Sh. 85,000,000

For Sale6 beds700 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni Fancity, Dar Es Salaam (700 sqm)
1

Sh. 85,000,000

For Sale2 beds700 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
Apartments for Sale in Kigamboni Mikwambe, Dar Es Salaam (500 sqm)
1

Sh. 65,000,000

For Sale500 sqmapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
3 Bedrooms Apartment for Sale in Kigamboni FunCity (Mwembe Mtengu), Dar Es Salaam
1

Sh. 150,000,000

For Sale3 bedsapartment
Kigamboni, Dar Es Salaam
dalali mpole kibamba