Beach Plot for Sale in Matemwe Kigomani, Zanzibar (1200 sqm)









Amenities
Description
KIWANJA KINAUZWA MATEMWE KIGOMANI #unguja #zanzibar Kiwanja kipo baada ya Barabara/Hifadhi ya barabara Kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 500 Ukubwa wa Kiwanja Mita 48x25 Bei Tsh 65 Milioni sitini na tano NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 500 What’s App/Call 0653007438 #mtegemeachanduguhufamaskini #kimfaachomtuchake




