Search

Beach Plots for Sale in Kigamboni Kimbiji Beach, Dar Es Salaam (653 sqm)

Sh. 39,180,000

Type

Beach Plot

Beach Plot for sale in Kigamboni

Plot Size

653 SQM

Nearest Road

200m

Installment

Available

Amenities

Description

KIGAMBONI KIMBIJI BEACH 🌊

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuwekeza karibu na bahari! Viwanja hivi vipo mita 200 tu kutoka ufukweni, katika eneo linalokua kwa kasi na lenye mahitaji makubwa ya makazi na uwekezaji.

βœ… Umeme upo
βœ… Maji yanapatikana
βœ… Eneo limepimwa na linafikika kirahisi
βœ… Hati ni uhakika
βœ… Malipo kwa awamu ndani ya miezi 6 tu

πŸ“ Location: Kigamboni Kimbiji Beach
πŸ“ Ukubwa: sqm 653 Tsh 39,180,000
Sqm 669 40,140,000 .

Sqm moja ni 60000

⚠️ Viwanja vimebakia 2 tu! Hii ni nafasi adimu ya kumiliki kiwanja karibu na bahari kwa bei nafuu kabla thamani haijapanda zaidi.

Jenga nyumba ya ndoto zako au wekeza leo kwa faida ya kesho. Karibu Oasis Real Estate Company Limited – Hati ni Uhakika Asilimia 100. 🏑✨
Wasiliana nasi 0761444564

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

Beach Plots for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000/sqm

For SaleInstallment