Search

Commercial Plot for Sale in Mlimwa C, Dodoma (4200 sqm)

video thumbnail
Mlimwa C, Dodoma
23 days ago
Sh. 550,000,000

Description

πŸ‘‰KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ‘‰ "Unatafuta sehemu sahihi ya kuwekeza Dodoma? Hiki hapa kiwanja πŸ‘‰cha kipekee kilichopo Mlimwa C Mpamaa. Kina
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ‘‰ukubwa wa Square Meter 4,200, ni Kona Plot na kinatazama barabara ya lami moja kwa moja.
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ‘‰Kiwanja kipo kimkakati zaidiβ€”
πŸ‘‰karibu na Chuo cha Mipango, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, na Hospitali ya St. Njema. Ni eneo salama lenye fensi na hati safi.
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ‘‰Kiwanja hiki kinafaa kwa Hotel ya kisasa, Apartments, au hata kituo cha mafuta.
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ‘‰Bei ni Milioni 550 tu na maongezi yapo. Kupata fursa hii, piga simu sasa πŸ‘‰namba 0714 024 420. Wekeza sasa, vuna kesho!"☎️0714024420
@dalali_ngosha_dodoma

Similar properties in Mlimwa C, Dodoma