Shop for Rent in Kijitonyama, Dar Es Salaam

Kijitonyama, Kinondoni, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 400,000 per month
Type
Shop
Description
🏢 FREM INAPANGISHWA – KIJITONYAMA 📍
Frem nzuri inapangishwa eneo la Sinza, pamechangamka sana na panapita wateja wa kutosha 👌
Inafaa kwa biashara yoyote.
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
🚗 Gharama za kupelekwa: 30,000/=
📞 Call: 0788 875810
Wahi sasa kabla haijachukuliwa! 🔥
