Shop for Rent in Kijitonyama, Dar Es Salaam

Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – KIJITONYAMA 🔥
Unatafuta sehemu bora ya biashara? Hizi hapa frem kali sana zinapatikana Kijitonyama!
💰 Bei: 500,000/= kwa mwezi
📍 Eneo: Zipo sehemu nzuri sana yenye mzunguko mkubwa wa watu
🏪 Inafaa kwa biashara yoyote
💡 Mazingira rafiki na yanayovutia wateja
🧾 Service Charge: 30,000/= tu
📞 Piga simu sasa: 0787093748
Usikose nafasi hii ya kipekee kuanzisha au kukuza biashara yako!















