Shop for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam







Type
Shop
Nearest Road
7km — Morogoro Road
Installment
Available
Amenities
Description
🏢 FREMU KUBWA INAPANGISHWA – KIMARA, KOROGWE
📍 Location: Kimara Korogwe, dakika 6–7 tu kutoka Morogoro Road
💰 Kodi: TSh 150,000/= kwa mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
💼 Service Charge: TSh 15,000/=
✨ Sifa Kuu:
Fremu hii iko kwenye eneo lenye pilikapilika nyingi za biashara, hivyo ni nafasi nzuri sana kwa mtu anayetaka kukuza au kuanzisha biashara yake haraka.
🔥 Inafaa kwa biashara kama:
✔️ Duka la bidhaa mbalimbali
✔️ Salon (kinyozi au urembo)
✔️ Biashara ya vinywaji & chakula
✔️ Ofisi au biashara nyingine yoyote
🚶♂️ Faida ya eneo:
Wateja wa uhakika kutokana na shughuli nyingi
Mazingira rafiki kwa biashara
📞 Wahi sasa! Piga simu kwa maelezo zaidi:
##0655256419
##0688617926
