Search
-
-

Shop for Rent in Makumbusho, Dar Es Salaam

video thumbnail

Type

Shop

Description

📍 MAKUMBUSHO – FREM INAPANGISHWA

Unatafuta sehemu bora ya kuanzisha au kukuza biashara yako? Hii hapa nafasi adhimu kabisa!

✔️ Frem nzuri na ya kisasa
✔️ Ipo eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu
✔️ Mazingira rafiki kwa biashara yoyote
✔️ Location ya kimkakati Makumbusho

💰 Service Charge: 30,000/=

Usikose nafasi hii ya kipekee!
📞 Call: 0787093748