Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
FREM INAPANGISHWA – SINZA
Bei: 700,000/= kwa mwezi
Frem kubwa yenye nafasi ya kutosha, ipo sehemu nzuri sana ya biashara na inatazama moja kwa moja barabarani (lami). Inafaa kwa biashara mbalimbali kama shop, office, salon, mini market, boutique na nyingine nyingi.
✅ Location ya uhakika
✅ Mwonekano mzuri wa biashara
✅ Eneo lenye watu wengi
✅ Mazingira safi na salama
Service Charge: 30,000/=
Call: 0787093748














