Shop for Sale in Survey, Mlimani City, Dar Es Salaam

Mlimani City, Dar Es Salaam
24 days ago
Sh. 2,500,000
Amenities
Description
ποΈ Duka la Nguo Linauzwa β Survey (Mlimani City)
π Survey, Mlimani City β eneo zuri sana kwa biashara β¨
Bei ya Mauzo
β’ TZS 2,500,000
Inauzwa haraka
π° Kodi ya fremu kwa mwezi: TZS 150,000
Duka liko sehemu nzuri sana kwa biashara
Linauzwa likiwa na kila kitu kilichopo ndani.
Unachokabidhiwa
1. π Nguo zote zilizopo dukani
2. π Midoli / accessories zote
3. πͺ Furniture zote za duka
Gharama nyingine
1. π° Service charge: TZS 30,000
2. π€ Agent commission: Makubaliano na mnunuzi
Kwa mawasiliano zaidi
π Piga / WhatsApp: [+255 692 932 076](tel:+255 692 932 076)


