Search

Farm for Sale in Kiseriani, Arusha (4.5 acre)

video thumbnail
Kiseriani, Arusha
4 hours ago
Sh. 450,000,000

Type

Farm

Farm for sale in Kiseriani

Plot Size

4.5 ACRE

Nearest Road

300m

Amenities

Near Paved Road

Description

šŸ“¢ SHAMBA KUBWA LINA UZWA – KISERIANI! 🌳
Je, unatafuta eneo lenye ukubwa wa kutosha kwa ajili ya mradi wako wa uwekezaji? Tunauza shamba zuri lililopo eneo la kimkakati.
Sifa za Shamba:
Ukubwa: Heka 4.5 (Heka nne na nusu).
Eneo: Kiseriani (Eneo linalokua kwa kasi).
Umbali: Mita 300 tu kutoka lami ya East Africa.
Hali: Shamba linauzwa lote (Full plot).
Bei: TZS Milioni 450 (Maongezi yapo).
Hii ni nafasi ya kipekee kwa maendeleo ya biashara, kilimo, au uwekezaji wa ardhi.
šŸ“ž Wasiliana nasi sasa kwa mazungumzo:
0627779772
InnoPlot – Tunakupa suluhisho bora la ardhi!