Farm for Sale in Kiwangwa, Pwani (10 acre)







Kiwangwa, Bagamoyo, Pwani
24 days ago
Sh. 70,000,000
Type
Farm
Plot Size
10 ACRE
Nearest Road
2km
Amenities
Near Road
Near Paved Road
Flat Land
Store Room
Godown
Crops
Description
Shamba la ekari 10 pamoja na nyumba 2 kubwa zinauzwa
_____
Location kiwangwa Bagamoyo
_____
Kuna nyumba 2 kubwa zenye kila kitu ndani na godauni la kuhifadhia mazao
_____
Pia shamba lina mazao kama Mananasi,Miembe,Migomba,Mipapai,Mifenesi,mihogo na mifenesi
______
Shamba ni zuri sana lipo tambalale
______
Barabara ipo hadi shamba
______
Lipo umbali wa kilometa 2 kutoka kiwangwa mjini na ilipo barabara kuu ya lami
______
Vyote kwa pamoja vinauzwa shilingi 70 milioni
______
Wahi sasa ulipate hili shamba utakuja kunishukuru
_____
Call and WhatsApp +255713928950
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania
