Farm for Sale in Kwang'andu, Mbwewe, Bagamoyo, Pwani (20 acre)

Mbwewe, Pwani
1 day ago
Sh. 10,000,000
Amenities
Free Site Visit
Site Visit Fee
Description
SHAMBA LINAUZWA
lina ekar 20, lipo Kijiji cha kwang'andu kata ya mbwewe wilaya ya bagamoyo mkoa wa pwani
Shamba hili linauzwa lote eka 20
Bei mil 10 tu
Shamba lipo kilometa 5 kutoka Barabara kuu ya lami
Shamba lina vichaka kidogo,
Ni zuri kwa kilimo na ufugani
Hatuna siku maalumu kupeleka mteja shamba
Muda wowote njoo utapelekwa shamba
Ada yetu ni elfu 50 kupelekwa shamba kuona, haihusishi gharama za usafiri
Kwamawasiliano zaidi piga 0784919453
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#business #home #farmers #farming #farm
