Search
-
-

Retail Space for Rent in Kinondoni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 700,000 per month

Type

Retail Space

Amenities

Standalone Electric Meter

Description

🏢 FREM INAPANGISHWA – KINONDONI 🏢

Frem kubwa na yenye muonekano mzuri inapangishwa maeneo ya Kinondoni, ipo sehemu nzuri sana kwa biashara na yenye muonekano unaovutia wateja kirahisi.

✨ Sifa za frem:
✔️ Frem kubwa yenye nafasi ya kutosha
✔️ Ipo eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara
✔️ Umeme unajitegemea
✔️ Inafaa kwa biashara mbalimbali

💰 Bei: 700,000/= kwa mwezi
💵 Service Charge: 30,000/=

📞 Wahi sasa kupiga simu: 0787093748

Usikose nafasi hii ya kuanzisha au kukuza biashara yako kwenye eneo la uhakika! 🚀