Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Description
FREM INAPANGISHWA – SINZA SHEKILANGO 🔥
Unatafuta sehemu kali ya biashara? Hii hapa!
📍 Ipo Sinza, inatazama Shekilango Road – mwonekano wa moja kwa moja kwa wateja💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi✨ Frem kali sana, eneo la biashara lenye mzunguko mkubwa wa watu🧾 Service Charge: 30,000/=
Inafaa kwa biashara yoyote kama duka, ofisi, salon, au huduma nyingine.
📞 Wahi kuwasiliana: 0787093748















